Amosi 1:15 - Swahili Revised Union Version15 na mfalme wao atakwenda utumwani, yeye na wakuu wake wote pamoja, asema BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mfalme wao na maofisa wake, wote watakwenda kukaa uhamishoni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mfalme wao na maofisa wake, wote watakwenda kukaa uhamishoni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mfalme wao na maofisa wake, wote watakwenda kukaa uhamishoni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Mfalme wake ataenda uhamishoni, yeye pamoja na maafisa wake,” asema Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Mfalme wake atakwenda uhamishoni, yeye pamoja na maafisa wake,” asema bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 na mfalme wao atakwenda utumwani, yeye na wakuu wake wote pamoja, asema BWANA. Tazama sura |