3 Yohana 1:15 - Swahili Revised Union Version15 Amani kwako. Rafiki zetu wakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu, kila mtu kwa jina lake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Nakutakia amani. Rafiki zako wanakusalimu. Wasalimu rafiki zetu wote kila mmoja binafsi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Nakutakia amani. Rafiki zako wanakusalimu. Wasalimu rafiki zetu wote kila mmoja binafsi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Nakutakia amani. Rafiki zako wanakusalimu. Wasalimu rafiki zetu wote kila mmoja binafsi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Amani iwe kwako. Rafiki zetu walio hapa wanakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu walio huko, kila mmoja kwa jina lake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Amani iwe kwako. Rafiki zetu walioko hapa wanakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu walioko huko, kila mmoja kwa jina lake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Amani kwako. Rafiki zetu wakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu, kila mtu kwa jina lake. Tazama sura |