2 Yohana 1:7 - Swahili Revised Union Version7 Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, wasiokiri ya kuwa Yesu Kristo yuaja katika mwili. Huyo ndiye yule mdanganyifu na mpinga Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Wadanganyifu wengi wamezuka duniani, watu ambao hawakiri kwamba Yesu Kristo amekuja kwetu, na mwili wa kibinadamu. Mtu asemaye hivyo ni mdanganyifu na ni mpinzani wa Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Wadanganyifu wengi wamezuka duniani, watu ambao hawakiri kwamba Yesu Kristo amekuja kwetu, na mwili wa kibinadamu. Mtu asemaye hivyo ni mdanganyifu na ni mpinzani wa Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Wadanganyifu wengi wamezuka duniani, watu ambao hawakiri kwamba Yesu Kristo amekuja kwetu, na mwili wa kibinadamu. Mtu asemaye hivyo ni mdanganyifu na ni mpinzani wa Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Wadanganyifu wengi, wasiokubali kwamba Isa Al-Masihi amekuja katika mwili, wametawanyika ulimwenguni. Mtu kama huyo ni mdanganyifu na anampinga Al-Masihi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Wadanganyifu wengi, wasiokubali kwamba Isa Al-Masihi amekuja katika mwili, wametokea ulimwenguni. Mtu wa namna hiyo ni mdanganyifu na anampinga Al-Masihi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, wasiokiri ya kuwa Yesu Kristo yuaja katika mwili. Huyo ndiye yule mdanganyifu na mpinga Kristo. Tazama sura |