2 Wakorintho 9:9 - Swahili Revised Union Version9 kama ilivyoandikwa, Ametapanya, amewapa maskini, Haki yake yakaa milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Yeye hutoa kwa ukarimu, huwapa maskini; wema wake wadumu milele.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Yeye hutoa kwa ukarimu, huwapa maskini; wema wake wadumu milele.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Yeye hutoa kwa ukarimu, huwapa maskini; wema wake wadumu milele.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kama ilivyoandikwa: “Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; haki yake hudumu milele.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kama ilivyoandikwa: “Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; haki yake hudumu milele.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 kama ilivyoandikwa, Ametapanya, amewapa maskini, Haki yake yakaa milele. Tazama sura |