2 Wakorintho 8:1 - Swahili Revised Union Version1 Tena ndugu zetu, twawaarifu habari ya neema ya Mungu, waliyopewa makanisa ya Makedonia; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Ndugu, tunapenda kuwapa habari juu ya neema ambazo Mungu ameyajalia makanisa ya Makedonia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Ndugu, tunapenda kuwapa habari juu ya neema ambazo Mungu ameyajalia makanisa ya Makedonia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Ndugu, tunapenda kuwapa habari juu ya neema ambazo Mungu ameyajalia makanisa ya Makedonia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Basi sasa ndugu, nataka ninyi mjue kuhusu ile neema ambayo Mungu amewapa waumini wa Makedonia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Basi sasa ndugu, nataka ninyi mjue kuhusu ile neema ambayo Mungu amewapa waumini wa Makedonia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Tena ndugu zetu, twawaarifu habari ya neema ya Mungu, waliyopewa makanisa ya Makedonia; Tazama sura |