2 Wakorintho 4:9 - Swahili Revised Union Version9 twaudhiwa, bali hatuachwi; twatupwa chini, bali hatuangamizwi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 twateseka, lakini hatuachwi bila msaada; na ingawa tumeangushwa chini, hatukuangamizwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 twateseka, lakini hatuachwi bila msaada; na ingawa tumeangushwa chini, hatukuangamizwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 twateseka, lakini hatuachwi bila msaada; na ingawa tumeangushwa chini, hatukuangamizwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 twateswa lakini hatuachwi; twatupwa chini lakini hatupondwi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 twateswa lakini hatuachwi; twatupwa chini lakini hatupondwi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 twaudhiwa, bali hatuachwi; twatupwa chini, bali hatuangamizwi; Tazama sura |