2 Wakorintho 3:2 - Swahili Revised Union Version2 Ninyi ndinyi barua yetu, iliyoandikwa mioyoni mwetu, inajulikana na kusomwa na watu wote; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Nyinyi wenyewe ni barua yetu; barua iliyoandikwa mioyoni mwetu kila mtu aione na kuisoma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Nyinyi wenyewe ni barua yetu; barua iliyoandikwa mioyoni mwetu kila mtu aione na kuisoma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Nyinyi wenyewe ni barua yetu; barua iliyoandikwa mioyoni mwetu kila mtu aione na kuisoma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Ninyi wenyewe ndio barua yetu iliyoandikwa katika mioyo yetu, inayojulikana na kusomwa na kila mtu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Ninyi wenyewe ndio barua yetu iliyoandikwa katika mioyo yetu, inayojulikana na kusomwa na kila mtu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Ninyi ndinyi barua yetu, iliyoandikwa mioyoni mwetu, inajulikana na kusomwa na watu wote; Tazama sura |