2 Wakorintho 3:15 - Swahili Revised Union Version15 ila hata leo, Torati ya Musa isomwapo, utaji huikalia mioyo yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Naam, mpaka hivi leo kila isomwapo sheria akili zao huwa zimefunikwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Naam, mpaka hivi leo kila isomwapo sheria akili zao huwa zimefunikwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Naam, mpaka hivi leo kila isomwapo sheria akili zao huwa zimefunikwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Hata leo Torati ya Musa inaposomwa, utaji hufunika mioyo yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Hata leo Torati ya Musa inaposomwa, utaji hufunika mioyo yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 ila hata leo, Torati ya Musa isomwapo, utaji huikalia mioyo yao. Tazama sura |