Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Wakorintho 12:3 - Swahili Revised Union Version

3 Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua);

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Narudia: Najua kwamba mtu huyo alinyakuliwa mpaka peponi. (Lakini sijui kama alikuwa huko kwa mwili au kwa roho; Mungu ajua).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Narudia: Najua kwamba mtu huyo alinyakuliwa mpaka peponi. (Lakini sijui kama alikuwa huko kwa mwili au kwa roho; Mungu ajua).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Narudia: najua kwamba mtu huyo alinyakuliwa mpaka peponi. (Lakini sijui kama alikuwa huko kwa mwili au kwa roho; Mungu ajua).

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Nami najua kwamba mtu huyu, iwe ni katika mwili au nje ya mwili mimi sijui, lakini Mungu ajua,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Nami najua ya kwamba mtu huyu, kwamba ni katika mwili au nje ya mwili mimi sijui, lakini Mungu ajua,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua);

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 12:3
3 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.


Kwa nini? Je! Ni kwa sababu siwapendi ninyi? Mungu anajua.


Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua). Mtu huyo alinyakuliwa juu mpaka mbingu ya tatu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo