2 Wakorintho 11:1 - Swahili Revised Union Version1 Laiti mngechukuliana nami katika upumbavu wangu kidogo! Naam, mchukuliane nami. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Laiti mngenivumilia kidogo, hata kama mimi ni mjinga kiasi! Naam, nivumilieni kidogo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Laiti mngenivumilia kidogo, hata kama mimi ni mjinga kiasi! Naam, nivumilieni kidogo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Laiti mngenivumilia kidogo, hata kama mimi ni mjinga kiasi! Naam, nivumilieni kidogo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Laiti mngenivumilia kidogo katika upumbavu wangu! Naam, nivumilieni kidogo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Laiti mngenivumilia kidogo katika upumbavu wangu! Naam, nivumilieni kidogo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Laiti mngechukuliana nami katika upumbavu wangu kidogo! Naam, mchukuliane nami. Tazama sura |