2 Wakorintho 1:13 - Swahili Revised Union Version13 Maana hatuwaandikii ninyi neno, ila yale msomayo, au kuyakiri; nami natarajia ya kuwa mtayakiri hayo hata mwisho; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Tunawaandikia nyinyi mambo mnayoweza kuyasoma na kuyaelewa. Ninatumaini kwamba mtaelewa vizuri kabisa, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Tunawaandikia nyinyi mambo mnayoweza kuyasoma na kuyaelewa. Ninatumaini kwamba mtaelewa vizuri kabisa, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Tunawaandikia nyinyi mambo mnayoweza kuyasoma na kuyaelewa. Ninatumaini kwamba mtaelewa vizuri kabisa, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kwa maana hatuwaandikii mambo ambayo hamwezi kusoma au kuyaelewa. Natumaini kwamba, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kwa maana hatuwaandikii mambo ambayo hamwezi kusoma au kuyaelewa. Natumaini kwamba, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Maana hatuwaandikii ninyi neno, ila yale msomayo, au kuyakiri; nami natarajia ya kuwa mtayakiri hayo hata mwisho; Tazama sura |