2 Wakorintho 1:1 - Swahili Revised Union Version1 Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na Timotheo ndugu yetu; kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, pamoja na watakatifu wote walioko katika nchi yote ya Akaya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mimi Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na ndugu Timotheo, tunawaandikia nyinyi mlio kanisa la Mungu huko Korintho, na watu wote wa Mungu kila mahali katika Akaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mimi Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na ndugu Timotheo, tunawaandikia nyinyi mlio kanisa la Mungu huko Korintho, na watu wote wa Mungu kila mahali katika Akaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mimi Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na ndugu Timotheo, tunawaandikia nyinyi mlio kanisa la Mungu huko Korintho, na watu wote wa Mungu kila mahali katika Akaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Barua hii ni kutoka kwangu mimi Paulo, mtume wa Al-Masihi Isa kwa mapenzi ya Mungu, na Timotheo ndugu yetu. Kwa kundi la waumini wa Mungu walioko Korintho, pamoja na watakatifu wote walio nchi ya Akaya yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Barua hii ni kutoka kwangu mimi Paulo, mtume wa Al-Masihi Isa kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, na Timotheo ndugu yetu, Kwa kundi la waumini la Mungu lililoko Korintho, pamoja na watakatifu wote walioko Akaya yote: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na Timotheo ndugu yetu; kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, pamoja na watakatifu wote walioko katika nchi yote ya Akaya. Tazama sura |