2 Wafalme 9:23 - Swahili Revised Union Version23 Yoramu akageuza mikono yake, akakimbia, akamwambia Ahazia, Ni uhaini, Ahazia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Yoramu aligeuza gari lake na kuondoka, huku akimwambia Ahazia, “Huu ni uhaini Ahazia!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Yoramu aligeuza gari lake na kuondoka, huku akimwambia Ahazia, “Huu ni uhaini Ahazia!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Yoramu aligeuza gari lake na kuondoka, huku akimwambia Ahazia, “Huu ni uhaini Ahazia!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Yoramu akageuka nyuma na kukimbia, akimwambia Ahazia, “Huu ni uhaini, Ahazia!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Yoramu akageuka nyuma na kukimbia, akimwambia Ahazia, “Huu ni uhaini, Ahazia!” Tazama sura |