2 Wafalme 8:17 - Swahili Revised Union Version17 Alikuwa na umri wa miaka thelathini na miwili alipoanza kutawala, akatawala miaka minane huko Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Alianza kutawala akiwa na umri wa miaka thelathini na miwili. Alitawala huko Yerusalemu miaka minane. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Alianza kutawala akiwa na umri wa miaka thelathini na miwili. Alitawala huko Yerusalemu miaka minane. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Alianza kutawala akiwa na umri wa miaka thelathini na miwili. Alitawala huko Yerusalemu miaka minane. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Alikuwa na umri wa miaka thelathini na mbili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka nane. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Alikuwa na umri wa miaka thelathini na miwili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka minane. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Alikuwa na umri wa miaka thelathini na miwili alipoanza kutawala, akatawala miaka minane huko Yerusalemu. Tazama sura |