2 Wafalme 7:11 - Swahili Revised Union Version11 Na mabawabu wakaita wakawaambia watu wa nyumba ya mfalme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Walinda malango wakaeneza habari hizi mpaka zikafika nyumbani kwa mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Walinda malango wakaeneza habari hizi mpaka zikafika nyumbani kwa mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Walinda malango wakaeneza habari hizi mpaka zikafika nyumbani kwa mfalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Walinzi wa langoni wakatangaza habari ile kwa sauti kuu, na taarifa hii ikatolewa ndani ya jumba la mfalme. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Walinzi wa langoni wakatangaza habari ile kwa sauti kuu, na taarifa hii ikatolewa ndani ya jumba la mfalme. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Na mabawabu wakaita, wakawaambia watu wa nyumba ya mfalme. Tazama sura |