2 Wafalme 6:4 - Swahili Revised Union Version4 Basi, akaenda pamoja nao. Nao walipofika Yordani, wakakata miti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Hivyo akaenda pamoja nao, na walipofika mtoni Yordani wakaanza kukata miti. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Hivyo akaenda pamoja nao, na walipofika mtoni Yordani wakaanza kukata miti. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Hivyo akaenda pamoja nao, na walipofika mtoni Yordani wakaanza kukata miti. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Naye akaenda pamoja nao. Basi wakaenda Yordani, nao wakaanza kukata miti. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Naye akaenda pamoja nao. Basi wakaenda Yordani, nao wakaanza kukata miti. Tazama sura |