Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Wafalme 5:9 - Swahili Revised Union Version

9 Basi Naamani akaja na farasi wake na magari yake, akasimama mlangoni pa nyumba ya Elisha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Naamani akaenda na farasi wake na gari lake mpaka mlangoni mwa Elisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Naamani akaenda na farasi wake na gari lake mpaka mlangoni mwa Elisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Naamani akaenda na farasi wake na gari lake mpaka mlangoni mwa Elisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Kwa hiyo Naamani akaenda, akiwa na farasi wake na magari yake ya vita, na kusimama mlangoni mwa nyumba ya Al-Yasa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Kwa hiyo Naamani akaenda, akiwa na farasi zake na magari yake, na kusimama mlangoni mwa nyumba ya Al-Yasa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 Basi Naamani akaja na farasi wake na magari yake, akasimama mlangoni pa nyumba ya Elisha.

Tazama sura Nakili




2 Wafalme 5:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yehoshafati akasema, Neno la BWANA analo huyu. Basi mfalme wa Israeli, na Yehoshafati, na mfalme wa Edomu, wakamshukia.


Naye Elisha akampelekea mjumbe, akisema, Nenda ukaoge katika Yordani mara saba, na nyama ya mwili wako itakurudia, nawe utakuwa safi.


Ikawa, Elisha, yule mtu wa Mungu, aliposikia kwamba mfalme wa Israeli ameyararua mavazi yake, ndipo akatuma mtu kwa mfalme, akisema, Mbona umeyararua mavazi yako? Na aje sasa kwangu mimi, naye atajua ya kuwa yuko nabii katika Israeli.


Lakini Elisha alikuwa akikaa nyumbani mwake, na wazee wakikaa pamoja naye; na mfalme akamtuma mtu wa mbele yake; lakini hata kabla ya kufika kwake yule aliyetumwa, akawaambia wazee, Je! Mwaona jinsi huyu mwana wa mwuaji alivyotuma aniondolee kichwa changu? Angalieni, huyo aliyetumwa akifika, fungeni mlango, mkamzuie mlangoni; je! Sauti ya miguu ya bwana wake haiko nyuma yake?


Na wana wa watu wale waliokutesa Watakuja kwako na kukuinamia; Nao wote waliokudharau Watajiinamisha katika nyayo za miguu yako; Nao watakuita, Mji wa BWANA, Sayuni wa Mtakatifu wa Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo