2 Wafalme 4:32 - Swahili Revised Union Version32 Basi Elisha alipofika nyumbani, tazama, mtoto amekwisha kufa, amelazwa kitandani pake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Elisha alipofika, akaingia peke yake chumbani na kuona maiti ya kijana kitandani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Elisha alipofika, akaingia peke yake chumbani na kuona maiti ya kijana kitandani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Elisha alipofika, akaingia peke yake chumbani na kuona maiti ya kijana kitandani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Al-Yasa alipofika kwenye ile nyumba, mtoto alikuwa amelala juu ya kitanda chake angali amekufa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Al-Yasa alipofika kwenye ile nyumba, mtoto alikuwa amelala juu ya kitanda chake angali amekufa. Tazama sura |