Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Wafalme 4:30 - Swahili Revised Union Version

30 Na mama yake yule mtoto akasema, Kama BWANA aishivyo, na roho yako iishivyo, sitakuacha. Basi akaondoka, akamfuata.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Mwanamke akamwambia Elisha, “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo na kama wewe uishivyo, sitakuacha.” Basi Elisha akaondoka na kufuatana naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Mwanamke akamwambia Elisha, “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo na kama wewe uishivyo, sitakuacha.” Basi Elisha akaondoka na kufuatana naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Mwanamke akamwambia Elisha, “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo na kama wewe uishivyo, sitakuacha.” Basi Elisha akaondoka na kufuatana naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Lakini mama mtoto akasema, “Hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo na wewe uishivyo, sitakuacha.” Kwa hiyo Al-Yasa akainuka, akafuatana naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Lakini mama mtoto akasema, “Hakika kama bwana aishivyo na wewe uishivyo, sitakuacha.” Kwa hiyo Al-Yasa akainuka, akafuatana naye.

Tazama sura Nakili




2 Wafalme 4:30
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwuliza, Jina lako ni nani? Akasema, Yakobo.


Eliya akamwambia Elisha, Tafadhali, kaa hapa; maana BWANA amenituma niende mpaka Betheli.


Eliya akamwambia, Tafadhali, kaa hapa, Elisha; maana BWANA amenituma niende mpaka Yeriko. Akasema, Kama BWANA aishivyo, na roho yako iishivyo, sitakuacha. Nao wakafika Yeriko.


Eliya akamwambia, Tafadhali kaa hapa; maana BWANA amenituma niende mpaka Yordani. Akasema, Kama BWANA aishivyo, na roho yako iishivyo, sitakuacha. Wakaendelea mbele wote wawili.


Mmoja wao akasema, Uwe radhi, basi nakusihi, uende pamoja na watumishi wako. Akajibu, Nitakwenda.


Akasema, Ee bwana wangu, kama iishivyo roho yako, bwana wangu, mimi ndimi yule mwanamke aliyesimama karibu nawe hapa, nikimwomba BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo