2 Wafalme 4:15 - Swahili Revised Union Version15 Akamwambia, Kamwite. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mlangoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Elisha akamwambia, “Mwite.” Naye akamwita. Akaja na kusimama mlangoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Elisha akamwambia, “Mwite.” Naye akamwita. Akaja na kusimama mlangoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Elisha akamwambia, “Mwite.” Naye akamwita. Akaja na kusimama mlangoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Ndipo Al-Yasa akasema, “Mwite huyo mwanamke.” Kwa hiyo akamwita, naye akaja akasimama mlangoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Ndipo Al-Yasa akasema, “Mwite huyo mwanamke.” Kwa hiyo akamwita, naye akaja akasimama mlangoni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Akamwambia, Kamwite. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mlangoni. Tazama sura |