2 Wafalme 25:2 - Swahili Revised Union Version2 Basi mji huo ulihusuriwa hata mwaka wa kumi na moja wa mfalme Sedekia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mji uliendelea kuzingirwa mpaka mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Sedekia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mji uliendelea kuzingirwa mpaka mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Sedekia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mji uliendelea kuzingirwa mpaka mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Sedekia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mji ulizingirwa na jeshi hadi mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Mfalme Sedekia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Mji ulizungukwa na jeshi mpaka mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Mfalme Sedekia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Basi mji huo ulihusuriwa hata mwaka wa kumi na moja wa mfalme Sedekia. Tazama sura |