2 Wafalme 23:21 - Swahili Revised Union Version21 Naye mfalme akawaamuru watu wote, akasema, Mfanyieni BWANA, Mungu wenu, Pasaka, kama ilivyoandikwa katika kitabu hiki cha agano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Kisha mfalme aliwaamuru watu wote, akisema, “Mfanyieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, Pasaka, kama ilivyoandikwa katika kitabu hiki cha agano.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Kisha mfalme aliwaamuru watu wote, akisema, “Mfanyieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, Pasaka, kama ilivyoandikwa katika kitabu hiki cha agano.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Kisha mfalme aliwaamuru watu wote, akisema, “Mfanyieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, Pasaka, kama ilivyoandikwa katika kitabu hiki cha agano.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Mfalme akatoa agizo hili kwa watu wote: “Adhimisheni Pasaka kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu hiki cha Agano.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Mfalme akatoa agizo hili kwa watu wote: “Adhimisheni Pasaka kwa bwana Mwenyezi Mungu wenu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu hiki cha Agano.” Tazama sura |