Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Wafalme 22:18 - Swahili Revised Union Version

18 Lakini yule mfalme wa Yuda, aliyewatuma ninyi kumwuliza BWANA, mtamwambia hivi, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Kwa habari ya maneno yale uliyoyasikia,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Lakini kuhusu mfalme wa Yuda aliyewatuma kutafuta shauri la Mwenyezi-Mungu, mwambie kwamba, hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, juu ya maneno uliyoyasikia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Lakini kuhusu mfalme wa Yuda aliyewatuma kutafuta shauri la Mwenyezi-Mungu, mwambie kwamba, hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, juu ya maneno uliyoyasikia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Lakini kuhusu mfalme wa Yuda aliyewatuma kutafuta shauri la Mwenyezi-Mungu, mwambie kwamba, hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, juu ya maneno uliyoyasikia,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Mwambieni mfalme wa Yuda, ambaye amewatuma kumuuliza Mwenyezi Mungu, ‘Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, kuhusu maneno uliyoyasikia:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Mwambieni mfalme wa Yuda, ambaye amewatuma kumuuliza bwana, ‘Hivi ndivyo asemavyo bwana, Mungu wa Israeli, kuhusu maneno uliyoyasikia:

Tazama sura Nakili

2 Wafalme 22:18
5 Marejeleo ya Msalaba  

Waambieni wenye haki ya kuwa watakuwa heri, kwa maana watakula matunda ya matendo yao

BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi; Mtamwambia hivi mfalme wa Yuda, aliyewatuma kwangu kuniuliza; Angalieni, jeshi la Farao, ambalo linakuja kuwasaidia, litarudi Misri, nchi yao wenyewe.

Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo