2 Wafalme 21:21 - Swahili Revised Union Version21 Akaiendea njia yote aliyoiendea baba yake, akazitumikia sanamu alizozitumikia baba yake, akaziabudu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Alifuata njia yote aliyoiendea baba yake na kutumikia sanamu ambazo baba yake alizitumikia na kuziabudu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Alifuata njia yote aliyoiendea baba yake na kutumikia sanamu ambazo baba yake alizitumikia na kuziabudu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Alifuata njia yote aliyoiendea baba yake na kutumikia sanamu ambazo baba yake alizitumikia na kuziabudu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Akaenenda katika njia zote za baba yake, akaabudu sanamu ambazo baba yake aliziabudu na kuzisujudia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Akaenenda katika njia zote za baba yake, akaabudu sanamu ambazo baba yake aliziabudu na kuzisujudia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Akaiendea njia yote aliyoiendea baba yake, akazitumikia sanamu alizozitumikia baba yake, akaziabudu. Tazama sura |