2 Wafalme 20:7 - Swahili Revised Union Version7 Naye Isaya akasema, Twaeni mkate wa tini. Wakautwaa, wakauweka juu ya jipu, naye akapona. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Basi Isaya akasema, “Leteni andazi la tini mliweke kwenye jipu lake, ili apate kupona.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Basi Isaya akasema, “Leteni andazi la tini mliweke kwenye jipu lake, ili apate kupona.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Basi Isaya akasema, “Leteni andazi la tini mliweke kwenye jipu lake, ili apate kupona.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kisha Isaya akasema, “Tengenezeni dawa ya kubandika ya tini.” Wakafanya hivyo na kuiweka kwenye jipu, naye akapona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kisha Isaya akasema, “Tengenezeni dawa ya kubandika ya tini.” Wakafanya hivyo na kuiweka kwenye jipu, naye akapona. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Naye Isaya akasema, Twaeni mkate wa tini. Wakautwaa, wakauweka juu ya jipu, naye akapona. Tazama sura |