Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Wafalme 20:4 - Swahili Revised Union Version

4 Ikawa, kabla Isaya hajatoka katika mji wa kati, neno la BWANA likamjia, kusema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Lakini kabla Isaya hajapita ua wa katikati, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia, kusema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Lakini kabla Isaya hajapita ua wa katikati, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia, kusema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Lakini kabla Isaya hajapita ua wa katikati, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia, kusema,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Kabla Isaya hajaondoka katika ua wa kati, neno la Mwenyezi Mungu likamjia, akaambiwa:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Kabla Isaya hajaondoka katika ua wa kati, neno la bwana likamjia, akaambiwa:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Ikawa, kabla Isaya hajatoka ua wa katikati ya mji, neno la BWANA likamjia, kusema,

Tazama sura Nakili




2 Wafalme 20:4
4 Marejeleo ya Msalaba  

Nayo nyumba yake atakayokalia, katika behewa nyingine iliyokuwa ndani kupita baraza, ilikuwa ya kazi kama hiyo. Tena akamjengea nyumba binti Farao, (ambaye Sulemani alikuwa amemwoa), mfano wa ile baraza.


Nakusihi, BWANA, ukumbuke sasa, jinsi nilivyokwenda mbele zako katika kweli na kwa moyo mkamilifu, na kutenda yaliyo mema machoni pako. Hezekia akalia sana sana.


Rudi, ukamwambie Hezekia, mkuu wa watu wangu, BWANA, Mungu wa Daudi baba yako asema hivi, Nimeyasikia maombi yako, na kuyaona machozi yako; tazama, nitakuponya; siku ya tatu utapanda nyumbani kwa BWANA.


Basi Hilkia kuhani, na Ahikamu, na Akbori, na Shafani, na Asaya, wakamwendea Hulda, nabii wa kike, mkewe Shalumu, mwana wa Tikva, mwana wa Harhasi, mtunza mavazi ya mfalme; (naye alikaa Yerusalemu katika mtaa wa pili;) wakasema naye.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo