2 Wafalme 2:22 - Swahili Revised Union Version22 Hivyo yale maji yakapona hata leo, sawasawa na neno la Elisha alilolinena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Na maji hayo yamekuwa ya kufaa mpaka leo, kama alivyosema Elisha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Na maji hayo yamekuwa ya kufaa mpaka leo, kama alivyosema Elisha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Na maji hayo yamekuwa ya kufaa mpaka leo, kama alivyosema Elisha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Nayo yale maji yakaponywa hadi leo, sawasawa na neno la Al-Yasa alilokuwa amesema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Nayo yale maji yakaponywa mpaka leo, sawasawa na neno la Al-Yasa alilokuwa amesema. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Hivyo yale maji yakapona hata leo, sawasawa na neno la Elisha alilolinena. Tazama sura |