2 Wafalme 2:18 - Swahili Revised Union Version18 Wakamrudia, alipokuwa anakawia Yeriko; akawaambia, Je! Mimi sikuwaambia, Msiende? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Kisha wakarudi kwa Elisha aliyekuwa anawangojea huko Yeriko. Elisha akawauliza, “Je, sikuwaambieni msiende?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Kisha wakarudi kwa Elisha aliyekuwa anawangojea huko Yeriko. Elisha akawauliza, “Je, sikuwaambieni msiende?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Kisha wakarudi kwa Elisha aliyekuwa anawangojea huko Yeriko. Elisha akawauliza, “Je, sikuwaambieni msiende?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Walipomrudia Al-Yasa, aliyekuwa akingojea huko Yeriko, akawaambia, “Je, sikuwaambia msiende?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Walipomrudia Al-Yasa, ambaye alikuwa akingojea huko Yeriko, akawaambia, “Je, sikuwaambia msiende?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Wakamrudia, alipokuwa anakawia Yeriko; akawaambia, Je! Mimi sikuwaambia, Msiende? Tazama sura |