Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Wafalme 2:10 - Swahili Revised Union Version

10 Akasema, Umeomba neno gumu; lakini, ukiniona nitakapoondolewa kwako, utalipata; la hukuniona, hulipati.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Elia akajibu, “Ombi lako ni gumu, hata hivyo utakipokea kipawa changu hicho ikiwa utaniona wakati nitakapoondolewa kwako; lakini usiponiona, basi hutapewa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Elia akajibu, “Ombi lako ni gumu, hata hivyo utakipokea kipawa changu hicho ikiwa utaniona wakati nitakapoondolewa kwako; lakini usiponiona, basi hutapewa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Elia akajibu, “Ombi lako ni gumu, hata hivyo utakipokea kipawa changu hicho ikiwa utaniona wakati nitakapoondolewa kwako; lakini usiponiona, basi hutapewa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Ilya akasema, “Umeomba jambo gumu. Lakini kama utaniona wakati ninapoondolewa kutoka kwako litakuwa lako. La sivyo, hutalipata.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Ilya akasema, “Umeomba jambo gumu. Lakini kama utaniona wakati ninapoondolewa kutoka kwako litakuwa lako. La sivyo, hautalipata.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Akasema, Umeomba neno gumu; lakini, ukiniona nitakapoondolewa kwako, utalipata; la hukuniona, hulipati.

Tazama sura Nakili

2 Wafalme 2:10
5 Marejeleo ya Msalaba  

Henoko akaenda pamoja na Mungu, naye akatoweka, maana Mungu alimtwaa.

Naye Elisha akaona, akalia, Baba yangu, baba yangu, gari la Israeli na wapanda farasi wake! Asimwone tena kabisa; akashika mavazi yake mwenyewe, akayararua vipande viwili.

Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo