2 Wafalme 18:6 - Swahili Revised Union Version6 Maana alishikamana na BWANA, hakuacha kumfuata, bali alizishika amri zake BWANA alizomwamuru Musa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Yeye hakumwasi Mwenyezi-Mungu wala hakuacha kumfuata, bali alishika amri za Mwenyezi-Mungu alizomwamuru Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Yeye hakumwasi Mwenyezi-Mungu wala hakuacha kumfuata, bali alishika amri za Mwenyezi-Mungu alizomwamuru Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Yeye hakumwasi Mwenyezi-Mungu wala hakuacha kumfuata, bali alishika amri za Mwenyezi-Mungu alizomwamuru Mose. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Alishikamana na Mwenyezi Mungu kwa bidii wala hakuacha kumfuata; alishika amri ambazo Mwenyezi Mungu alikuwa amempa Musa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Alishikamana na bwana kwa bidii wala hakuacha kumfuata; alishika amri ambazo bwana alikuwa amempa Musa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Maana alishikamana na BWANA, hakuacha kumfuata, bali alizishika amri zake BWANA alizomwamuru Musa. Tazama sura |