2 Wafalme 17:12 - Swahili Revised Union Version12 wakatumikia sanamu, ambazo BWANA aliwakataza, akasema, Msitende jambo hili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 na walitumikia sanamu ambazo Mwenyezi-Mungu alikuwa amewakataza, akisema, “Msifanye hivyo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 na walitumikia sanamu ambazo Mwenyezi-Mungu alikuwa amewakataza, akisema, “Msifanye hivyo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 na walitumikia sanamu ambazo Mwenyezi-Mungu alikuwa amewakataza, akisema, “Msifanye hivyo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Wakatumikia sanamu, ingawa Mwenyezi Mungu alikuwa amesema, “Msifanye mambo haya.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wakaabudu sanamu, ingawa bwana alikuwa amesema, “Msifanye mambo haya.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 wakatumikia sanamu, ambazo BWANA aliwakataza, akasema, Msitende jambo hili. Tazama sura |
Kwa maana nilipokuwa nimekwisha kuwaingiza katika nchi ile, ambayo niliuinua mkono wangu kuwapa, wakati huo walipoona kila mlima mrefu, na kila mti wenye majani mengi, walitoa matoleo yao huko, na huko walitoa chukizo la sadaka zao, na huko walifukiza manukato ya kupendeza, na huko walimimina sadaka zao za kunywewa.