2 Wafalme 15:3 - Swahili Revised Union Version3 Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, kama yote aliyoyafanya babaye Amazia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu sawasawa na yote baba yake aliyotenda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu sawasawa na yote baba yake aliyotenda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu sawasawa na yote baba yake aliyotenda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Akatenda yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu, kama Amazia baba yake alivyofanya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Akatenda yaliyo mema machoni pa bwana, kama Amazia baba yake alivyofanya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, kama yote aliyoyafanya babaye Amazia. Tazama sura |