Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Wafalme 15:22 - Swahili Revised Union Version

22 Menahemu akalala na babaze; na Pekahia mwanawe akatawala mahali pake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Menahemu alifariki, naye mwanawe Pekahia alitawala mahali pake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Menahemu alifariki, naye mwanawe Pekahia alitawala mahali pake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Menahemu alifariki, naye mwanawe Pekahia alitawala mahali pake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Menahemu akalala na baba zake. Naye Pekahia mwanawe akawa mfalme baada yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Menahemu akalala pamoja na baba zake. Naye Pekahia mwanawe akawa mfalme baada yake.

Tazama sura Nakili




2 Wafalme 15:22
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na Shalumu mwana wa Yabeshi akafanya fitina juu yake, akampiga mbele ya watu, akamwua, akatawala mahali pake.


Basi mambo yote ya Menahemu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Israeli?


Katika mwaka wa hamsini wa Uzia mfalme wa Yuda Pekahia mwana wa Menahemu alianza kutawala juu ya Israeli hatika Samaria; akatawala miaka miwili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo