2 Wafalme 14:5 - Swahili Revised Union Version5 Ikawa, mara ufalme ulipokuwa imara mkononi mwake, aliwaua watumishi wale waliomwua mfalme baba yake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mara tu Amazia alipojiimarisha mamlakani, aliwaua watumishi waliomuua mfalme, baba yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mara tu Amazia alipojiimarisha mamlakani, aliwaua watumishi waliomuua mfalme, baba yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mara tu Amazia alipojiimarisha mamlakani, aliwaua watumishi waliomuua mfalme, baba yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Baada ya ufalme kuimarika mkononi mwake, aliwaua maafisa waliomuua mfalme baba yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Baada ya ufalme kuimarika mikononi mwake, aliwaua maafisa waliomuua mfalme baba yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Ikawa, mara ufalme ulipokuwa imara mkononi mwake, aliwaua watumishi wale waliomwua mfalme baba yake; Tazama sura |