2 Wafalme 13:22 - Swahili Revised Union Version22 Na Hazaeli mfalme wa Shamu akawaonea Israeli siku zote za Yehoahazi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Mfalme Hazaeli wa Aramu aliwanyanyasa sana watu wa Israeli wakati wote wa enzi ya Yehoahazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Mfalme Hazaeli wa Aramu aliwanyanyasa sana watu wa Israeli wakati wote wa enzi ya Yehoahazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Mfalme Hazaeli wa Aramu aliwanyanyasa sana watu wa Israeli wakati wote wa enzi ya Yehoahazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Hazaeli mfalme wa Aramu aliwatesa Israeli wakati wote wa utawala wa Yehoahazi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Hazaeli mfalme wa Aramu aliwatesa Israeli wakati wote wa utawala wa Yehoahazi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Na Hazaeli mfalme wa Shamu akawaonea Israeli siku zote za Yehoahazi. Tazama sura |