Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Wafalme 12:2 - Swahili Revised Union Version

2 Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA siku zake zote Yehoyada kuhani alizomfundisha.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Wakati wa maisha yake yote alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kwa sababu kuhani Yehoyada alikuwa akimfundisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Wakati wa maisha yake yote alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kwa sababu kuhani Yehoyada alikuwa akimfundisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Wakati wa maisha yake yote alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kwa sababu kuhani Yehoyada alikuwa akimfundisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu miaka yote ambayo Yehoyada kuhani alikuwa akimwelekeza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa bwana miaka yote ambayo Yehoyada kuhani alikuwa akimwelekeza.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA siku zake zote Yehoyada kuhani alizomfundisha.

Tazama sura Nakili

2 Wafalme 12:2
8 Marejeleo ya Msalaba  

Katika mwaka wa saba wa Yehu, Yoashi alianza kutawala; akatawala miaka arubaini huko Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Sibia wa Beer-sheba.

Ila mahali pa juu hapakuondolewa; watu wakaendelea kutoa sadaka na kufukiza uvumba katika mahali pa juu.

Ndipo mfalme Yoashi akamwita Yehoyada kuhani, na makuhani wengine, akawauliza, Mbona hamtengenezi mabomoko ya nyumba? Basi sasa msipokee tena fedha kwa hao mwajuao, lakini itoeni kwa ajili ya mabomoko ya nyumba.

Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, ila si kama babaye Daudi; akafanya kama yote aliyoyafanya baba yake Yoashi.

Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA siku zote za Yehoyada kuhani.

Akafanya yaliyo ya adili machoni pa BWANA, lakini si kwa moyo mkamilifu.

Akafanya yaliyo ya adili machoni pa BWANA, sawasawa na yote aliyoyafanya Amazia babaye.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo