Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Wafalme 11:7 - Swahili Revised Union Version

7 Na sehemu mbili zenu, yaani, wote watokao siku ya sabato, mtayalinda malinzi ya nyumba ya BWANA kumzunguka mfalme.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Yale makundi mawili ambayo humaliza zamu yao siku ya Sabato yatashika zamu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kumlinda mfalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Yale makundi mawili ambayo humaliza zamu yao siku ya Sabato yatashika zamu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kumlinda mfalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Yale makundi mawili ambayo humaliza zamu yao siku ya Sabato yatashika zamu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kumlinda mfalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Nanyi ambao mko katika makundi mengine mawili ambao kwa kawaida hupumzika siku ya Sabato, wote mtalinda Hekalu kwa ajili ya mfalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 nanyi ambao mko katika makundi mengine mawili ambao kwa kawaida hupumzika Sabato, wote mtalinda Hekalu kwa ajili ya mfalme.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Na sehemu mbili zenu, yaani, wote watokao siku ya sabato, mtashika zamu za ulinzi katika nyumba ya BWANA kumzunguka mfalme.

Tazama sura Nakili




2 Wafalme 11:7
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaamuru, akasema, Hili ndilo neno mtakalolifanya; theluthi yenu, mtakaoshika zamu siku ya sabato, mtalinda kasri ya mfalme;


na theluthi mtakuwapo mlangoni pa Suri; na theluthi langoni nyuma ya walinzi; hivyo ndivyo mtalinda kasri, kuzuia watu wasiingie.


Mtamzunguka mfalme pande zote, kila mtu mwenye silaha zake mkononi; naye awaye yote aingiaye ndani ya safu auawe; mkafuatane na mfalme, akitoka na akiingia.


Na ndugu zao, katika vijiji vyao, wakawajibika kuingia kila siku ya saba, zamu kwa zamu, ili kuwa pamoja nao;


Wala asiingie mtu nyumbani mwa BWANA, ila makuhani, na Walawi watumikao; hao wataingia, kwa kuwa ni watakatifu; ila watu wengine wote watafuata amri za BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo