2 Wafalme 10:3 - Swahili Revised Union Version3 basi mtazameni yeye aliye mwema na hodari miongoni mwa wana wa bwana wenu, mkamweke kitini mwa babaye, mkaipiganie nyumba ya bwana wenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 mchagueni na kumtawaza mwenye uwezo zaidi kati ya wana wa mfalme; halafu mpige vita kwa ajili ya ukoo wa mfalme.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 mchagueni na kumtawaza mwenye uwezo zaidi kati ya wana wa mfalme; halafu mpige vita kwa ajili ya ukoo wa mfalme.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 mchagueni na kumtawaza mwenye uwezo zaidi kati ya wana wa mfalme; halafu mpige vita kwa ajili ya ukoo wa mfalme.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 mchague mwenye uwezo zaidi kati ya wana wa bwana wako, na umweke kwenye kiti cha utawala cha baba yake. Kisha upigane kwa ajili ya nyumba ya bwana wako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 mchague mwenye uwezo zaidi kati ya wana wa bwana wako, na umweke juu ya kiti cha enzi cha baba yake. Kisha upigane kwa ajili ya nyumba ya bwana wako.” Tazama sura |