2 Wafalme 10:26 - Swahili Revised Union Version26 Wakazitoa nguzo zilizokuwamo nyumbani mwa Baali, wakaziteketeza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 na kutoa nguzo takatifu na kuiteketeza kwa moto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 na kutoa nguzo takatifu na kuiteketeza kwa moto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 na kutoa nguzo takatifu na kuiteketeza kwa moto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Wakaileta ile nguzo ya kuabudiwa nje ya hekalu la Baali, na wakaichoma moto. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Wakaileta ile nguzo ya kuabudiwa nje ya hekalu la Baali, na wakaichoma moto. Tazama sura |
Kisha, mfalme akamwamuru Hilkia, kuhani mkuu, na makuhani wa daraja ya pili, na walinzi wa mlango, kwamba watoe katika hekalu la BWANA vyombo vyote vilivyofanywa kwa ajili ya Baali, na kwa ajili ya Ashera, na kwa ajili ya jeshi lote la mbinguni; akaviteketeza kwa moto nje ya Yerusalemu, katika mashamba ya Ridroni, akayachukua majivu yake mpaka Betheli.