2 Wafalme 1:5 - Swahili Revised Union Version5 Wale wajumbe wakarudi, na mfalme akawaambia, Mbona mmerudi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Basi, Elia akawaendea. Wale wajumbe wakarudi kwa mfalme, naye akawauliza, “Mbona mmerudi?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Basi, Elia akawaendea. Wale wajumbe wakarudi kwa mfalme, naye akawauliza, “Mbona mmerudi?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Basi, Elia akawaendea. Wale wajumbe wakarudi kwa mfalme, naye akawauliza, “Mbona mmerudi?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Wajumbe waliporudi kwa mfalme, akawauliza, “Kwa nini mmerudi?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Wajumbe waliporudi kwa mfalme, akawauliza, “Kwa nini mmerudi?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Wale wajumbe wakarudi, na mfalme akawaambia, Mbona mmerudi? Tazama sura |
Wakamwambia, Mtu alitokea, akaonana nasi, akatuambia, Nendeni, rudini kwa mfalme yule aliyewatuma, mkamwambie, BWANA asema hivi Je! Ni kwa sababu hapana Mungu katika Israeli, hata mnakwenda kuuliza kwa Baal-zebubu, mungu wa Ekroni? Basi kwa ajili ya hayo hutashuka katika kile kitanda ulichokipanda, bali hakika utakufa.