2 Timotheo 2:13 - Swahili Revised Union Version13 Kama sisi hatuamini, yeye hudumu wa kuaminiwa. Kwa maana hawezi kujikana mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Tukikosa kuwa waaminifu, yeye hubaki mwaminifu daima, maana yeye hawezi kujikana mwenyewe.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Tukikosa kuwa waaminifu, yeye hubaki mwaminifu daima, maana yeye hawezi kujikana mwenyewe.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Tukikosa kuwa waaminifu, yeye hubaki mwaminifu daima, maana yeye hawezi kujikana mwenyewe.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Tusipoaminika, yeye hudumu akiwa mwaminifu, kwa maana hawezi kujikana mwenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kama tusipoamini, yeye hudumu kuwa mwaminifu, kwa maana hawezi kujikana mwenyewe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Kama sisi hatuamini, yeye hudumu wa kuaminiwa. Kwa maana hawezi kujikana mwenyewe. Tazama sura |