2 Timotheo 2:1 - Swahili Revised Union Version1 Basi wewe, mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo katika Kristo Yesu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Basi, wewe mwanangu, uwe na nguvu katika neema tunayopata katika kuungana na Kristo Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Basi, wewe mwanangu, uwe na nguvu katika neema tunayopata katika kuungana na Kristo Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Basi, wewe mwanangu, uwe na nguvu katika neema tunayopata katika kuungana na Kristo Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Basi wewe, mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo ndani ya Al-Masihi Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Basi, wewe mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo ndani ya Al-Masihi Isa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Basi wewe, mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo katika Kristo Yesu. Tazama sura |