2 Timotheo 1:2 - Swahili Revised Union Version2 kwa Timotheo, mwanangu mpendwa. Neema na iwe kwako, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 nakuandikia wewe mwanangu mpenzi Timotheo. Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba na Kristo Yesu Bwana wetu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 nakuandikia wewe mwanangu mpenzi Timotheo. Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba na Kristo Yesu Bwana wetu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 nakuandikia wewe mwanangu mpenzi Timotheo. Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba na Kristo Yesu Bwana wetu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Kwa Timotheo, mwanangu mpendwa. Neema, rehema na amani zinazotoka kwa Mungu Baba Mwenyezi, na kwa Al-Masihi Isa, Bwana wetu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kwa Timotheo, mwanangu mpendwa: Neema, rehema na amani itokayo kwa Mungu Baba, na kwa Al-Masihi Isa Bwana wetu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 kwa Timotheo, mwanangu mpendwa. Neema na iwe kwako, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu. Tazama sura |