2 Samueli 8:8 - Swahili Revised Union Version8 Tena toka Tebhathi na toka Berothai, miji ya Hadadezeri, Daudi akatwaa shaba nyingi mno. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Pia alichukua shaba nyingi sana kutoka miji ya Beta na Berothai, iliyokuwa miji ya Hadadezeri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Pia alichukua shaba nyingi sana kutoka miji ya Beta na Berothai, iliyokuwa miji ya Hadadezeri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Pia alichukua shaba nyingi sana kutoka miji ya Beta na Berothai, iliyokuwa miji ya Hadadezeri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kutoka miji ya Tibathi na Berothai, iliyokuwa miji ya Hadadezeri, Mfalme Daudi akatwaa shaba nyingi sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kutoka miji ya Beta na Berothai, iliyokuwa miji ya Hadadezeri, Mfalme Daudi akatwaa shaba nyingi sana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Tena toka Tebhathi na toka Berothai, miji ya Hadadezeri, Daudi akatwaa shaba nyingi mno. Tazama sura |