2 Samueli 8:15 - Swahili Revised Union Version15 Daudi akatawala juu ya Israeli wote; naye Daudi akawafanyia hukumu na haki watu wake wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Hivyo, Daudi akatawala juu ya Israeli yote, akahakikisha watu wake wote wanatendewa haki ipasavyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Hivyo, Daudi akatawala juu ya Israeli yote, akahakikisha watu wake wote wanatendewa haki ipasavyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Hivyo, Daudi akatawala juu ya Israeli yote, akahakikisha watu wake wote wanatendewa haki ipasavyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Daudi akatawala juu ya Israeli yote; naye akawafanyia hukumu na haki watu wake wote. Tazama sura |