2 Samueli 6:15 - Swahili Revised Union Version15 Basi Daudi na nyumba yote ya Israeli wakalileta sanduku la BWANA kwa shangwe, na kwa sauti ya tarumbeta. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Hivyo, yeye na Waisraeli wote walilipeleka sanduku la Mwenyezi-Mungu hadi mjini mwa Daudi kwa shangwe na sauti kubwa ya tarumbeta. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Hivyo, yeye na Waisraeli wote walilipeleka sanduku la Mwenyezi-Mungu hadi mjini mwa Daudi kwa shangwe na sauti kubwa ya tarumbeta. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Hivyo, yeye na Waisraeli wote walilipeleka sanduku la Mwenyezi-Mungu hadi mjini mwa Daudi kwa shangwe na sauti kubwa ya tarumbeta. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 wakati yeye na nyumba yote ya Israeli walipopandisha Sanduku la Mwenyezi Mungu kwa shangwe na sauti za tarumbeta. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 wakati yeye na nyumba yote ya Israeli walipopandisha Sanduku la bwana kwa shangwe na sauti za tarumbeta. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Basi Daudi na nyumba yote ya Israeli wakalileta sanduku la BWANA kwa shangwe, na kwa sauti ya tarumbeta. Tazama sura |