2 Samueli 5:7 - Swahili Revised Union Version7 Lakini Daudi aliiteka ngome ya Sayuni; huu ndio mji wa Daudi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Hata hivyo, mfalme Daudi aliiteka ngome ya Siyoni, yaani mji wa Daudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Hata hivyo, mfalme Daudi aliiteka ngome ya Siyoni, yaani mji wa Daudi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Hata hivyo, mfalme Daudi aliiteka ngome ya Siyoni, yaani mji wa Daudi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Hata hivyo, Daudi akaiteka ngome ya Sayuni, Mji wa Daudi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Hata hivyo, Daudi akaiteka ngome ya Sayuni, Mji wa Daudi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Lakini Daudi aliiteka ngome ya Sayuni; huu ndio mji wa Daudi. Tazama sura |
Na lango la chemchemi akalijenga Shalumu, mwana wa Kolhoze, mkuu wa Mispa akalitengeneza lango la Chemchemi akalijenga na kulifunika, akasimamisha milango yake, na vyuma vyake, na makomeo yake, na huo ukuu wa birika la Shiloa karibu na bustani ya mfalme, mpaka madaraja yashukayo kutoka mji wa Daudi.