2 Samueli 5:4 - Swahili Revised Union Version4 Daudi alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kutawala, akatawala miaka arubaini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Daudi alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kutawala, na alitawala kwa muda wa miaka arubaini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Daudi alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kutawala, na alitawala kwa muda wa miaka arubaini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Daudi alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kutawala, na alitawala kwa muda wa miaka arubaini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Daudi alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kutawala, naye akatawala Israeli kwa miaka arobaini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Daudi alikuwa na miaka thelathini alipoanza kutawala, naye akatawala Israeli miaka arobaini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Daudi alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kutawala, akatawala miaka arobaini. Tazama sura |