2 Samueli 5:21 - Swahili Revised Union Version21 Nao wakaziacha sanamu zao huko, na Daudi na watu wake wakaziondolea mbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Wafilisti waliziacha sanamu zao za miungu mahali hapo, naye Daudi na watu wake wakazichukua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Wafilisti waliziacha sanamu zao za miungu mahali hapo, naye Daudi na watu wake wakazichukua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Wafilisti waliziacha sanamu zao za miungu mahali hapo, naye Daudi na watu wake wakazichukua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Wafilisti wakaziacha sanamu zao huko, naye Daudi na watu wake wakazichukua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Wafilisti wakaiacha miungu yao huko, naye Daudi na watu wake wakaichukua. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Nao wakaziacha sanamu zao huko, na Daudi na watu wake wakaziondolea mbali. Tazama sura |