2 Samueli 5:10 - Swahili Revised Union Version10 Naye Daudi akazidi kuwa mkuu; kwa maana BWANA, Mungu wa majeshi, alikuwa pamoja naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Naye Daudi akazidi kuwa maarufu zaidi kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, alikuwa pamoja naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Naye Daudi akazidi kuwa maarufu zaidi kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, alikuwa pamoja naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Naye Daudi akazidi kuwa maarufu zaidi kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, alikuwa pamoja naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Daudi akazidi kuwa na nguvu zaidi na zaidi, kwa sababu Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, alikuwa pamoja naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Daudi akazidi kuwa na nguvu zaidi na zaidi, kwa sababu bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote alikuwa pamoja naye. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Naye Daudi akazidi kuwa mkuu; kwa maana BWANA, Mungu wa majeshi, alikuwa pamoja naye. Tazama sura |